Ronaldo na Messi hawakulala wakaamkua tu nakujikuta wao ni wataalam uwanjani, walijifunza soka toka muda mrefu toka wakiwa wadogo.
So kama mke wako ni Fundi sana Kitandani brother hiyo siyo habari njema. Atakuwa amepata mafunzo Kwa muda mrefu kupitia kwa makocha mbalimbali.
Leo nadhani kutakua na kipindi cha maswali na majibu nyumbani:mad::mad::mad::mad:
Tatizo alikua silidi…au alitengeneza?
hahahaaa cheza part yako tulia!
Mzee endeleza mechi acha kujipa maswali yasiyo ya msingi
Tena mkeo kapitia kwa kocha Sir Ferguson na Guardiola
Ni la kujivunia pia kujua majambozz si mchezo
cc @Smart911
paap:
Aisee
Ndio hvyo huo ujumbe umenipa maswali sana leo
Mkuu kwa hyo watu walimpa mafunzo yakutosha
Ndio ndio tik tak itakua kachukua kwa pep,ila hii kupaki bus akizidiwa kachukua kwa morinho
Kylie
June 25, 2018, 2:26pm
13
Bora aje akiwa fundi kuliko umfundishe halafu akautumie kwa wengine
Ronaldo na Messi hawakulala wakaamkua tu nakujikuta wao ni wataalam uwanjani, walijifunza soka toka muda mrefu toka wakiwa wadogo.
So kama mke wako ni Fundi sana Kitandani brother hiyo siyo habari njema. Atakuwa amepata mafunzo Kwa muda mrefu kupitia kwa makocha mbalimbali.
Leo nadhani kutakua na kipindi cha maswali na majibu nyumbani:mad::mad::mad::mad:
Ulidhani kaupata ufundi kwenye academy yako
Nilidhan labda walifundishwa na masomo wao
hiyo siez jua lbd kungwi wake alimfunda bt usichunguze sana hutamla
Mimi @Mahondaw wangu ni fundi hakuna mfano…
Cc: @Mahondaw
hao makocha watakuwa wanamsajili kinyemelea akacheze ndondo