[ATTACH=full]497527[/ATTACH]
Uzuri sina hii shida for now … wangu ni generation Alpha born entirely in the 21st century. Na juu mulisema mapema ndo best … napanga yeye mapema kapsaa … akue always na advantage. Next year napangia mwingine alafu ni funge io stori … ningangane na vinyangarika zangu pole pole. Kwanza … princess naona akinipea stress kuruka akifika ile age … using her mama as an indicator. Now I gotta figure out how to mitigate that problem mapema … juu mapema ndo best.