Mileage

Hizi ni zile dealers hununua na kuja kupunguza to 80k, kisha unaambiwa gari iko Safi kabisa, hata mileage iko chini

Luckily there are websites where one can verify the car’s mileage. eg…

https://www.qisjp.co.uk/verify-mileage.php

Car Yard zote za Nairobi hufanya hio kazi which is very dangerous na pia kununua gari ziko na dents warepair. Nrb gari upata haijafanyiwa ukarabati labda mpya za cmc na toyota kenya. Nikiskia mtu anataka gari I advice them ashuke Mombasa utapa gari vile tu ilitoka japan ata haijawaioshwa,iko adi na mareceipt za supa za previous owner, milage iko original. Gari ni engine na ukishachokora milage sasa umeharibu kila kitu ndio unaona Vitz KDA iko na milage ya 50k km na inatoka kamoshi kwa highway kama gari mzee ya diesel.

Fanya hivi nani, fikisha bei enda show room nunua kitu mpya yenye iko na warranty ya 3 years or 100,000km