Miguu kuwaka Moto na Ganzi

Salamu wana Kijiji!
Mara kadhaa huwa unanitokea miguu,kuanzia kwenye kifundo kuwaka moto kwa mbali ,na kusikia kama vidole vinakufa ganzi!
Hivi hili ni tatizo gani Wanakijiji!

Kapime UTI

Ahsante Mkuu Mjini Chai

Punguza kula supu za Mbuzi au acha kabisa…

Uzi wa tatizo kama lako nshauona JF ukiwa na moja ya suruhisho. Hebu nenda kule ufuke nyuzi utaupata

Pole sana, punguza kula maharage, nyama yenye wekundu Pia pima minyoo ya safura