Midau

As others are in darkness Mimi ni shock tu napigwa na thitima. Charger ya simu hiwekeki Kwa extension inakua moto saidi, laptop inapiga mimi shock.
Tufanye namna gani wadau

Hama hio pigsty.

Oga mikono then ujaribu tena.

:D:D:D:D

Connect laptop kwa socket directly, tumia USB kucharge simu from lapi. Kisha chukua hiyo extension cable tupa nje. Wacha kusumbua.

He he he!

:eek::D:D:D:D

Wewe sio mtu mzuri!