Kindly hii kitu inanunuliwa wapi, I need the 5litre one, mechanic ananiambia ako nayo but najua hio aliibia @chiefmbitika how much does a new one cost? Thank you in advance elders
Most utapata ni 20liters, loozap kenya wako nayo but bei lazma utume email for quotation. The rest go for 1500-1700 . Cheki Robs magic ama uingie Pigiame tho sidhani wako na 5lts
Some supermarkets also have it. Kama shoprite Garden city mall, I think pia unaeza pata kwa Game supermarket.
Ata mini nataka for other purposes
[SIZE=1]It’s called a jerrican[/SIZE]
Pia unaeza tumia container ya ATF
ikishindikana nitafanya hivyo
Ni ngumu kupata ya 5 litres mdau. Mingi ni za 10 litres and above.
Tafuta hawa:
[ATTACH=full]331583[/ATTACH]