Men's HEALTH

I went for my annual medical on April this year… I have always been the one who tells fellow men to go to hospital and get their bodies checked…every year I was told by the optician that I needed spectacles…every year na lenga iyo story Hadi nikiingia kwake medical swali ya kwanza ni bado hujanunua…so yesterday after hitting a pot hole and nearly spoiling the shocks I decided it’s time I get the spectacles…Leo nimeenda Kwa optician shock on me kuwekwa Kwa a computer like video taking machine…macho yangu ya right ni mbaya saidi ya left ni mbaya lakini ya right iko karibu kukataa mambo ya kusafisha macho:Dnimetoka uko na spectacles na nikivaa ndio nimekubali my eyesight was poor…I ni ya wanaume wenzangu…uko na TU pesa gari Yako una pelekanga service on time…lakini mwili yako unasema utaenda hosi ukikaribia kukufa…wanaume tuko na shida…the first time I was told I need specs ni kitu 07ama 2006…it has taken all this years kukubali kuvaa…in short I was turning out to be one of those men wa kupuuza health yangu…no wonder women leave longer than us…so MEN apa ktalk FREE advise take care of your health…damage Kwa mfuko imekuja 3100 ju kuna mse alikuwa amenichanua niende na frame nipimwe TU niwekewe lens:cool:

Ati 3100/-? My designer frames cost 20k only, lenses ni kaa 5k with blue block na tint

Fkn geeks and nerds.

@majizee I can’t pretend to be a
Billionaire like you I’m just glad I can see much better:cool:

Ni kukushtua tu

maybe anamaanisha 31,000

My insurance pays more than 19m per year na naona kama nahitaji specs