Meanwhile pale Mukuru

Thanks my deer @Waithelelo for bringing this to my attention. Tafasali @ Idi admin protect us from the hekaya lifters wa hii kijiji. Naona @kichwakibovu amerudi in full swing. Ama ni @vunja deki , juu naona budake ni Johnstone Muthama. Pia anaweza kuwa @uwesmake mtu ya kayole.

[ATTACH=full]127771[/ATTACH]
[ATTACH=full]127772[/ATTACH]

Uyo kayaraha kasta mutua nashuku ni Kafunda

hii sasa ililiftiwa kwetu au mwanakijiji hapa ndio aliiba huko akaleta?

Yaani amecopy hadi waithelelo signature vvvv

Hii ni original works ya nduthi sacco chair KYM

Not gd at all

Iko ingine nilisoma huko kmds amengoa huku na one jay yule munono sijui kama ni wewe.

Copy and paste is a Kenyan thing. Even , most of the comments we post in KTalk, a good number are copied, modified, then posted.

You can’t do anything, it’s the Internet.

Monkey see monkey do!

The best thing nikuchomea picha na comment
Acknowledge the source
Muici wa hekaya

Rink priss

Did u know this kijiji has an FB account…me hushangaa nkiona hekaya on my FB TL nkidhani non-ethical hackers washafanya mambo yao…kumbe I already “liked” the page a while back.
So, the copier :smiley: may not even be necessarily a talker…

You’re right, pewa uji ile kikombe kubwa

Huyo ni @kabuda aka @makavelli

hiyo okombe kubwa ndio huitwa bilauri?

attention seeker was fb…ng’ombe yeye

@Ka-Buda = Kayaraha Kastar Mutua

Hehe

Zii inaitwa biraru