Mcooshes, Leo Zinakushkia Wapi

Stupid rwandese wameban sheesha… hapa Moyale niko handas tangia 3pm…

Weh uko?

niko hapa boni forest na ma kondoo tunakula taxin na maembe

nyao stadi na imagine ka hi stadii ingekua premier league

Can they allow mtu kushkisha huko?

Naingia mwihoko na huko kihunguroo

Waria fala kuja nikutupie VAT

Moyale butie ama manyatta burji

its all fun and games till you develop cancer and start crying to god to save you