[ATTACH=full]179947[/ATTACH]
!
!
Ndio Hali Halisi
ngoja nijiunge twiter,fb nkipata habr nzur ka hz niwatag wahusika.
[ATTACH=full]179994[/ATTACH]
Aisee!..
Salaaleee!
Kwa hiyo Nape na Ghasia na wao walipiga kura ya ndiooooo kupitisha katiba…
In Africa, the only Politician to trust is a dead/ deceased Politician!!!
Magu anataka kubonjoa, akina Nape, Bwege na Ghasia wanamletea ghasia!
Hapo lazima atapata tumbo la kuhara. Matunda hajatoa maganda,na hawezi kuchemsha.
Duh!
BONGE LAJAA MIHURI hahahaaaaaa