Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mgombea wa Spika la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti CCM

kuwa Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mgombea wa Spika la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti CCM katika Uchaguzi uliomalizika hivi punde huko Dodoma.

Taarifa zinasema Zungu amepata Kura 348 akimshinda mpinzani wake Stephen Masele aliyepata kura 16.

Tutawaletea taarifa zaidi.

https://www.instagram.com/p/DQ1wjY0jcZE/?hl=en

Hakuna kishindo nimeskia Mimi, amechaguliwa tu kama mtu wa kawaida

poo GIF

2 opposition MPs in a country of 300 million people

China 0 opposition country with 1.4 billion people