MBs

wasee wa mbs za airtel za 4gb zilienda wapi?
ama za safcom 1.5gb

you mean the code ones??

Pia mimi natafuta

saf walijammisha 440 wakaweka traffic… nowadays no response

yes the code one.
na airtel?

safaricom hawareply…

Watu wanahack aje scratch cards za Saf?

kama umeivisha luhn i think you can generate