Uncle best is a very dissapointed man. Jana jioni while at work, nikapigiwa simu na maid akaniambia " Boss gas iliisha asubuhi" nikashangaa kwani wanachemushianga maji ya kuoga na kuna shower? Haithuru!!! nikacall msee wa gas nikamwambia apeleke K-gas 13kg na meko 6kg ndio nisikie hiyo story soon.
Jamaa kufika mtaa ananiambia amepata the 13kg empty cylinder lakini 6kg haikukua. Aiii ni nikauliza mboch kwani ilienda? To my surprise maid anasema ati alitupa vile iliisha. ULITIPA!!! I was very mad manze mtu anatupa aje gas ati coz imeisha. Hadi saii nashindwa nimfanyie nini.
Siwezi mmfuta coz kwao wako 11 na wanamtegemea wote.
hii story ya kutupa mtungi si tumewahi skiza hapa kize, mpaka ile design supu alikua anasema pan zile za kufry mayai (zile huwa hazisuguliwi) inasuguliwa na steelwire na miss mboches
Ancolli are you married? Juzi you were asking for an advice on how to hunt a lady na @Okiya rose the occasion and gave the best advice. Ulisaidika? Ama alikuwa mpango wa kando?