Mbeca juu ya meza

Cz amepoteza bet…

Sawa tuonane pale after nimecha ge into kes pale city market kesho.

[ATTACH=full]182916[/ATTACH]

Kuna kijana machachari sana kwetu kazini. Huwa na simu mbili za kujionyesha tu. Hutoa simu na kujipgia simu na kisha kuanza kujiongelesha story za pesa nyingi na deal kubwa kubwa ili watu wamuinamishie!

Alafu weekend anashinda akihepa caretaker juu hajalipa rent:D

:):):):slight_smile: $5

[ATTACH=full]182964[/ATTACH]

$500xkes100=Kes 50,000.
Tuma 20k kwa hii number hapo shini

Sasa hii ni pesa ya kuonesha Wakumbwa?

Wengine tuko na 600 kwa meza na hatusumbui.:D[ATTACH=full]183198[/ATTACH]

[ATTACH=full]183241[/ATTACH]