Mazee natafuta GEAR BOX ya Nissan Tiida

Habari zenu jamani, ninahitaji gear box ya Nissan kwa mwenye contact na wauzaji wa spare parts ambapo naweza pata anipatie ili niwacheki ninunue.

Shamas auto spares baricho road or just tag in @introvert

mazee uniapatie na number kabisa @introvert

Anza Shamas vile umeambiwa. Next to Shamas along Hola Road to your right there’s one or two spare parts shops. Past Shamas at Baricho Road/ Bungoma Road jxn kuna kina Rayan Autospares and several others.

Along Dar-Es-Salaam Road are many spare parts dealers, the likes of Saitama, Mara, General Japanese, etc.

Then ukiingia Grogan, tafuta Symo (sp) Autospares, among others.

Wewe ni daktari wa watu ama magari? Ama unatibu kila kitu?

A bit of a J.O.A.T. :smiley:

:D:D:D:D…at this rate utajipata umeingia theatre na spanner.

:D:D:D:D:D:D Hebu tema hiyo mate. Vile saa zingine mtu hujipata akisahausahau vitu, wueh! :D:D

:D:D:D:D:D