Mawe yaporomoka mlima Kitonga, bara bara yajifunga..

Mawe yameporomoka mlima kitonga kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini na kusababisha usafiri kuwa mgumu maeneno hayo

Chanzo: East Africa TV

Hatari

Hmm hii mvua imezidi