Mavi

Jana niliamua kuenda kuwatch game ya midtable between team fulani inaitwa Aston Villa na ingine inajiita Manutd. Nikiwatch game kama kawa nilikuwa napewa Summit Baridi. Game yenyewe ilikuwa chini very few chances created lakini Summit ilikuwa inanibamba mbaya.

Anyway kitu second half nilikuwa tipsy hata sikuwa naona screen poa nilikuwa nasikia commentator akisema sijui Memphis sijui Schwznegger sijui agbon la whore. Severally nilisikia commentator ametaja mavi mara kadhaa kama sijakosea.

Sasa nasikia ati hio team ya Manutd imesign watu wengi kutoka goalkeeper. Sasa nauliza Manutd wamenunua player anaitwa Mavi?
[ATTACH=full]12171[/ATTACH]
[ATTACH=full]12172[/ATTACH]

1 Like

Amavi ni player wa aston villa

3 Likes

[ATTACH=full]12173[/ATTACH]

3 Likes

Idiot it’s Memphis.And why does that summit bottle look so short?

1 Like

Jordan Amavi is an aston villa defender. Wachana na our next cristiano mzitoh memphis depay !

Kwani ulikua baesa mtu solo hata bar maid nawes sausage-funga hapo sioni !!

2 Likes

Nilikuwa nimekaa ile place ina screen ndogo juu base ya projector ilikuwa imeshona mbaya :frowning:

Midtable ni chelsea minus maureen …na kesho mnalia

Unasupport nani kesho?

Sisupport any of the teams & a draw would do for me …

@The_Virus Hiyo game iliniweka down mpaka nikasahau ku bet games za Leo.NKT!!

1 Like

manchester united kesho tuko nyuma ya chelsea ipate hizo points tatu… man city hatutaki pressure uko juu ! mtandikwe kesho!!

1 Like

He he

Hii ndio shida ya kunyua 2nd generation beer

Summit ni beer halisi ndugu yangu

Sawa boss, so why were the ferkees destroying it during the infamous crackdown

Ni wivu tu