Katika neno la wiki tunachambua neno bibi, mchambuzi wetu leo ni, Nuhu Zuberi Bakari ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa Maswala ya Mawasiliano kwenye Chama cha Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.
Nuhu Zuberi Bakari anazungumzia matumizi ya neno bibi nchini Kenya na Tanzania.
Anasema Bibi linatumika hutumika Tanzania kwa maana ya mama ya wazazi wa mtu na Kenya, linatumika kwa maana ya mke.
Je ni ipi sahihi? Bwana Bakari anasema maana zote zinakubalika.
Mke sounds more like any woman as in mwanamke.
Bibi is more direct. A woman that is married to me.
All bibis are wanawake but not all wanawake are bibis
And actually basing on this, Bibi = Bi, is supposed to be used in a title… Mr and Mrs = Bwana na Bi. - Not necessarily signifying married couple
Mke na Mume on the other hand should be the common word(s) to signify someone is married.
Ama namna gani?