Mattress ikishika moto?

[ATTACH=full]120969[/ATTACH] Now there is this Peasant kwa kijiji anaitwa Alekii. Msee ameanza kuishi kwake baada ya kukwamilia kwao kwa miaka zaidi ya ishirini. Sasa hana meza na gas anapikia iko karibu na mattress yake. Swali ni je, mattress ikishika moto.

NB: I was bored just like you. Nkicheki kazi hakuna kwa ile website Inakaa ka Iwriter. Nkicheki kijiji hamna cha maana. Nkamua kupost ufala nkitegea mafala warespond.

Wacha ninywe kahawa tamu na hafukeki (ngumu)
[ATTACH=full]120970[/ATTACH]

39 Likes

Na ni kweli wewe ni peasant. Ata mkeka ni plastic? gonja 28th ifike

1 Like

You have to start somewhere bro.
Congratulations.

39 Likes

I like your confidence with what you call yours… Jibambe na kachai

18 Likes

Ni hali kwa SAA hii kaka…kila mtu hukuwa na matumaini cha msingi ni kula jasho lako.

16 Likes

Na nawaombeni msamaha wadau wa kijiji kwa kuwaita mafala. Niwieni radhi

1 Like

@Mzee mzima should see this. Nugu hii ulitoka kwenyu?

16 Likes

Notebook ni ya kupanga budget, naona balance ya 120 ilibaki, anyway learn to fly by your own

9 Likes

Though your beginnings seem humble, so prosperous will your future be

3 Likes

Zii.

Notebook ni ya vitu mob…am your typical 20-year old something kenyan… As such, notebook ni ya kuarrange to-do list ya kesho, kuandika mabets, budgeting na kadhalika

6 Likes

Amen #chawucha

hahaha

Umeanza na gas Ya 13kgs? Na ka 2 burner? You are mocking the peasants!!!

22 Likes

Eti nisubiri mpaka 28th…mi ni peasant but najilipa kila week baada ya kung’ang’ana na Iwriter, na sites zingine mob…#mgaagaa na upwa hali wali mkavu

6 Likes

Sambaza hizo sites… peasants ni wengi…:D:D:D

Nyani ni wale wale mshika dau mwenzangu: Iwriter, upwork, zerys, freelancer, scripted, myams, textbroker, hoth, fiverr, hirewriters etc.

2 Likes

congratulations man…That’s one small step for a you, one giant leap for your future… That’s how most of us started… You just reminded me the many months I slept on a matress on the floor, and in a single room before I could even afford a bed…

9 Likes

Now this is encouraging. #ChawuchaSana

huyu ni mluyha wapy ,@admin Wa posho mill

Umekosea @kim88 Mi si Mluhya. Kwani ni taasuba gani unayoihusisha na waluhya ambayo imejidhihirisha kwa picha hizi?

2 Likes