If a Kenyan girl texts “how are you?” Just reply “I’m fine.” Let those who have money add “and you?” Wise a mosa day
2 threads in 3secs
Wewe lazima ulikua bell ringer kwa shule yenu.
Wewe lazima ulikuwa wa kwanza kwa line ya sembe kwa shule yenu…
Wewe lazima ulikua unakumbusha mwalimu mpewe homework
Wewe lazima ulikuwa hule mjuaji wa saa zote kuinua mkono na kusema "Teacher! Teacher! Me! "
:D:D:D:D:D finaly boyshaud amejua land mines
wewe lazima ulikua ndio unakumbusha mode ati hajawepea homework
Wewe lazima ulikuwa copy cat juu ata hii ni comment ya @Shiroe umecopy.
Na muko na tumaneno
we mmemaliza homewor?
Wewe lazima ulikua unakula chakula cha wenzako wakienda break time
Na ukiletewa effidence?:D:D:D…
:eek::D:D umekuwa head boy ama?
Wewe lazima ulikuwa unaandika Tabia mbaya kwa wall za toilet.
Haiyaaaa oneni aka
Wewe lazima nilikuchezesha cha mama na baba
@Mosa deh! You win!![]()
:D:D:D pewa alvaro upunguze bangi
Thread derailed