Wadau,napanga kuanzia biz ya kuuza auto spares.
Where in Nairobi can I get mashimo za genuine Spareparts za Toyota,Mazda and Isuzu alafu na premium tyres.BF Goodrich,Michellin etc
Bei wholesale/nafuu then nikauzie customers wengine.
Nimejaribu industrial area but bei customers wanahepa.
Fanya research mzuri Kuna vitu kirinyaga road unauziwa 400 mtaani ni 650 na watu bado Wana buy mtaani wacha haraka
Very tricky business for a beginner in Nairobi
What would you advice?
Try out of Nairobi, Nairobi ma cartel ni wengi na unsshindana na Mali ya wizi
It is something I tried and still have some spares. Will send them out of Nairobi
wacha kuuzia watu uoga brare nugu biz haiwes isha