Mashemeji wamesidi

So leo natoka mashinani, just decided to use public transport kujikumbusha zile enzi. I get into this bus from Busia and got a seat mahali hapo katikati. Kufika hapo Luanda mmama fulani gets into the bus na kuku yake and went ahead to occupy a seat across from mine. Si hiyo kuku imenipigia kelele na kuwika like it was on a mission to piss me off. Saizo imetandikiwa leso ndio ilale vizuri. Tumefika Naikuru nikaamua kushuka, I just cant take it no more. Sijui watu wengine huwa aje na vile kimama kinapenda kula, from Kisum to Naikuru ameshinda akikula. Yawa.

[ATTACH=full]7455[/ATTACH]

1 Like

Hahahaha… Boss hamna kina Easycoach kwenu?

jamaa unajifanya babi na fare una afford ni ya matunda bus, ungekuwa kwa jambojet then uko na right ya kuzusha juu ya kuku

7 Likes

Hahaha…Hakununua mahindi along the way?,Rumour has it that these guys wanahama na kuku when they are going shaggz and they return it back wakirudi.On a light note,couldn’t you have boarded Easy Coach ama Shuttle?

1 Like

nunua simu kubaff, hio ni resolution ya kaduda

1 Like

Na umerudi haraka aje? I thought you guys take annual leave when visiting shags?

Hii ni picha ya zamani tukiwa kwa wanderi bana.:):slight_smile:

1 Like

wewe hutaki mama wa wenyewe akatulize mzee?

1 Like

Nilicheki @pamba jana
[ATTACH=full]7474[/ATTACH]

5 Likes

Those akina easycoach are too slow for my liking

@shocks kam slowly … like I said I wanted to get the feeling one more time, its been more than 5 years since nilipanda hizi vitu.

Si bora umeona mbisha

Was just going for an urgent business deal, leave inakuja December

ha haaa. easy coach is quite fast and very comfortable. rudia tu mercedes yako. ion ni kisumu ama busia?? those two places are quite a distance away and so no bus does kisumu- busia- nakuru or busia-kisumu- nakuru

I had to alight in Nakuru and board a shuttle to complete my journey. I couldn’t stand that kukuruku all the way to Nairobi.

ulipona viboko jamaa?

Niko poa sai, nilifanyiwa massage na kadem fulani ka Kiambu.

So where did you leave your limo… coz Jana ulikua na hekaya za jam Salgaa ukielekea Kisum City.

Where is the car… Ama ulifanya donation Busia Ama business deal was selling it? Mmmh…

Sema tu ulikosa fare ukabebewa kwa boot ya Mbukinya.

Uvumilie hadi Nakuru na ushindwe kufika Nairobi? Wacha hekaya.