Masaibu ya Weed, A Celebrity, A Taxi, A Dog and Cops. Finale!!

In 20 minutes nilikuwa nimeangusha fegi nne,ningewasha ya tano ni vile kiberiti iliisha. Nikajiambia hapa nikipatwa na gava ama wale security huwa wanapatrol na gari itakuwa ngori. Ile doggy ilikuwa busy ikinukia fence hapo na kumark territory na mkojo pia mimi nikaenda kwa ukuta nikachora a big F but hio f sikumaliza hio line ndogo ya katikati. After that I said a small prayer facing kirinyaga then I threw all caution to the wind gíuga fuate múkonyo kuria urorete (I follow the direction my navel is pointing). Ile doggy ikanifuata kwa safari. After like four corners nikapatana na majamaa wawili coming from the opposite direction. Umbwa ikaanza kubweka kama imeharibu uso, kulingana na ile mbio wale wasee walirudi nayo haikosi atleast one of them is part of the kenyan athletics team. Maybe ata mimi ndio nilifanya warealize dream yao.najua siku moja kuna athlete atakuwa interview anapeana hio story.

Kutoka hapo nilipatana na watu kadhaa but had to call off my new friend. After dakika kadhaa nikajipata parklands sports club nikaenda kuuliza soldier directions za vile nitafika nai. Palikuwa na soldier wawili hapo, mmoja alikuwa anakaa mpole juu ata alinigotea lakini huyo mwingine akanisorora kutoka kwa kichwa hadi mguu. Akaniuliza mbona naulizia direction na ananiona na mbwa,which means I must be from within. Mjamaa akakuwa mviolent akaanza kuniskuma akidai sisi ndio wale watu huwa tunaibia watu hio area. Nikaona nijitoe roho safi bila vita.

Nikitembea nilikuwa nadai vile pombe nimewachana nayo na pia maghels nawasaree. Nilikuwa nishaanza kupanga vile nitatupa magazines za porn Zile zilikuwa kwa keja na pia vcd za porn ya kamasutra na mandigo. Yaani life yangu ningeichange kabisa.nikipita hivi nikaskia kamoshi,nikapata kuna kamoto kenye huwa kanabaki ukichoma takataka. Nikaface kirinyaga tena nikashukuru mungu amenipee moto ya kuasha fegi. Zile fegi ilikuwa inabidii nichape chain juu ningezima hakungekuwa kuasha ingine.

Nikitembea tu hivyo nikajipata hapo law school. bahati ule soldier alikuwa msee mpoa hadi alipapasa mbwa. Akanishow hio masaa ni kunoma naeza patana na wezi. But mimi nikainsist lazima nifike jiji. Akanipee direction but akanishow nisipite main roads nitumie hizo njia ziko huko ndani. Nikamshukuru na nikamwachia fegi mbili nikabaki na moja na akaniwashia. Nikaenda nikijiambia vile nikifika mtaani nitachapa deal zangu alafu ule soldier nimletee za macho. After like 30 minutes nikajipata nimechomoka hapo opposite national museum (westlands road). Nikaangalia kirinyaga tena na kurudisha shukraan. Mimi na mbwa yangu tukadrop kama tunapitia kando na Nairobi river. Nikadecide kupita ile barabara ya kbc. Kufika hapo gsu nikaona GSU ghasia zinaniwashia torch “kijana kuja hapa”…hapo napo nikachapa about-turn ni kama niko kwa pass out nikifanya drills. Labda ata walidhani mimi ni mmoja wao. Nilitoka mbio ata ile mbwa haikuwa inaniona. Pale kwa corner place mtu huona nairobi river ikipita na meffi yote ya kawangware ndio nilikuwa napumzikia. Nikachapa mahesabu 123 nikaona nikienda na uhuru highway ningepatana na wezi walikuwa wanangoja Students wa UON pale kwa tunnel. Vile nawaza plans ya kutoboa kuingia jiji,doggy ikaanza kuwa over excited ikirukaruka. Kuangalia chini, naona MBOGI ya chokosh (credits to @Tarantinoh for the new vocabulary) kama kumi inapanda kutoka kwa river. “Wewe ndio uliiba mbwa yetu? utatujua leo” Saitan!! Hizi ni gani tena? “Inoo nú ginya tuurage”(this one we must kill) kuskia hivyo nikaanza mbio heading to tao. On my 2 o’clock were three chokosh walking towards my direction. “Kanyui!! Nyitani kihee keu” (kanyui!! Catch that uncircumcised boy) nikidhani kanyui was the top ranked officer in that battalion coz he was well built unlike the usual chokora “umuthee nú ginya tuthugune diraa ya mudu” (today we must thuguna heel of someone)

Sijui thuguna na kizungu ni nini.

Option yangu sasa ilikuwa ni kurudi ile njia ya kbc. Before I changed to gear 6 niliangalia nikaona kanyui wamepatana na the other group. Kanyui seemed kama mjamaa anaeza kuchunisha sukuma, something like @uwesmake Now,There’s a road there that joins that road from kijabe street. Fortunately or unfortunately, there was a police land rover coming from kijabe street ikienda central police. Vile ilichapa corner ishike njia ya central nilikuwa nyuma yake. We had eye contact with a female cop alikuwa huko nyuma together with a male counterpart and a few drunkards. alikuwa anaona huyu ni wazimu.nilikuja kama nimeingia kwa landrover kama ngunia imerushwa ndani. There was silence at the back of the landrover with everyone staring at me. Ule karao mmoja ndio alicork gun kila mtu akarudi back to their senses. By that time tulikuwa tushaaingia central. Makarau wenye walikuwa hapo mbele pa driver kuja walishangaa nimetoka wapi. Mmoja akamshow “unakumbuka ile story ya israelites?vile manna ilianguka kutoka juu.ata hii imeanguka hivyo.” The other guys i found there were taken inside to be booked mimi nikaambiwa nibaki tunaenda patrol. I noticed that the female cop was actually beautiful. No make up,no fake hair…just natural beauty.she must have been a new recruit coz even the uniform was too clean for a cop.I wondered how she survived being around hyenas all the time but kama @pseudonym ametoboa hapa i think pia yeye angetoboa. Wakaanza kuniuliza nilitoka wapi. Ndio nikaanza kuwachapia story yangu and what happened. By the time nifike kwa part tulipatana na mbwa they were all laughing hadi ule female cop anatap shoulders zangu akidai “aki wewe ni mcrazy”. By the time nifikishe story kwa chokosh she was squeezing my thighs and leaning her head on my shoulders.

Landrover ikafika karibu na emirates juu walikuwa wanataka kununua veve base flani hapo. Nikaambiwa nijipee shughli but not before the lady cop gave me her number. Nikaenda place ilikuwa opposite emirates “Pa Peter” pahali inaonekana pia @paparazzi alikuwa member. Peter owned that joint and emirates. Nikamchapia masaibu yangu na akanielewa. Akanichapa 500 na Rashid Ronald the ktn guy gave me pair ya open shoes alikuwa anaweka hapo ya spare. Peter akanishow pia niende niitishe Jug moja kwa bill yake. Nikapatana na maboyz nilikuwa nakunywa nao makeg pale.vile story zimeshika nikacheki non other than the guys from the balcony, wale waliniseti na bangi. (Came to learn that it was a plan hatched between them and the bouncers). Sasa ile squad nilikuwa nayo ilikuwa sawa. Majamaa waliinuliwa juu juu hadi mchochoro flani. Kila kitu ikaenda isipokuwa vest na boxer. Pair moja Ya makaveli nikavaa na nikarudisha open shoes.

After 2days we started talking with the cop and thats how we started dating for 7months. Nilikuwa naenda ngara kumchapa vitu akienda job nyonyo ziko attention mbaya. Ended up being threatened by a senior police man alikuwa anamdai ikabidii nimemsare.

The End!!

Epic hekaya!!! Nimecheka sana
:D:D:D:D

:D:D:D:D:Dand I thought I had seen it all…good stuff there.nice flow and narration… Ati guthuguna dira

saidi ya noma!

:D:D:D:D:D:D movie kali saidi but hapo kwa kukamua dem karau umeongeza pilipili na royco cubes

I skipped the rest for one reason or another, will have to look up how this started.

Sketch ya huyo karao

20 green emojis
Hekaya on point :smiley:

:D:D:D:D:D heka iko on point

:Di:D:D:D:D hadi bado sai nacheka, pata like

Heheheh very nice hekaya, and it is certified as a true narration, what authenticated your story is that part about Peter and Rashid Ronald, this exact detail cannot be made up. Fyi I still have Peter’s number, he operates a hardware along Bypass. Umenikumbusha mbali sana bro

:D:D:Dissa lie

:D:D:D:D:D

Nomaree mjamaa

Angekamuliwa hadi settings :D:D:D:D:D

Emirates na gabeez hiyo ni miaka gani, 2010 hapo?

hekaya safi sana kaka :D:D:D

At guthuguna dira:D:D