Kuna hii plot nilihamia last month (Am not one of the Mbirrioneas,am a tenant) ,we happen to be two of us sharing one compound. Before, i was living alone in my own compound. Jirani hataki niishi na amani, its a three bedroomed na inaishi watu kama saba. Music is the order of the day,kuna kajamaa rasta and he’s always smelling Fangi. I went, knocked that house and complained to the wife who promised to lower the sound, lakini wapi. I’ve complained to the Landlord and he told me he’ll talk to the owner of the house,who comes on weekends.
Juzi I asked the landlord to send me that Jiranis number ,so that we can talk omundu kumundo. The nigga told me, ata amesikia nilisomea bibi yake:D forgot to tell you,she’s paged, the dude is called Maina from Nyeri (You already know what i mean).
Nikamshow akitokea job,anipigie we talk it out kama wanaume.Alikuja and he’s not picking my calls na bado mziki nile ile.
To cut story short, nimepigia landlord akasema anakuja kesho,we solve this prblm.
Wana kijiji, if this persist, solution gani poa. Kunishow nihame tena, hiyo pesa sina.
Hapo unalipa rent bana,hama.Kama hujalipa rent usilipe.Show landlord umeamua kukalia deposit coz of noise.Kama landlord ako serious about kukuwa na tenants he will take action about the noise.If he doesn’t jua tu you are on your own.
Ghasia usihame invest in good sound system. Huyo mwanamke akizaa it will be payback. Mtoi akilala ndio unafungua sound system. Una make sure uko na flash disk ina cheza ngoma 3 days nonstop.
Mna ujinga mobest…hahaha…general rule…wewe ni nyani mpya…new inmates don’t make rulez…huwezi kuhamia nje ya brothel uanzie kucomplain kuna traffic ya wateja