Masaibu ya bacharas

ushai kaa tu hivo, umeumetulia, umeboeka tu, alafu unaskia kasimu kamelia, kucheki ni ka new number, ile tu ombi ya mwanaume wa kawaida “aki sii akuwe dem”
ombi kujibiwa haraka unaskia kasauti ka soft aki, kenye kanapenya kwa maskio ivo kanapita kwa oblangata mpaka kwa roho , unaskia kadamu kamekuwa kepesi na laini, unaskia ku pause hyo call ukimbie upige mswaki, ukule ma pk na utengeze sauti,
wacha alafu vile umejibu “hello” kanakuuliza " naongea na mwas? " wewe unajijua sii mwas bt uwezi wachilia " ni ssp but pia unaweza ni iita mwas"
unaskia ka dem kamesema “sorry ni wrong number” , ukiimajin katakata unajipata ukisema “apana apana ni wrong number lakini sio wrong person tunaweza juana ",
ma bibi hutafutwa kona zote

:D:D uko dry spell aje…si utafute malanye

:smiley: :smiley:

sijawai… :D:D:D

:D:D:D…kupata dame sio big deal na sisemi lanye…kupata mtu mnaelewana to a level ya kumfanya wife ndio mtihani iko. So, give the nigga a break.

PK si PK unless idhibitishwe…itaweza kuwa ni ya kuku-convert ukuwe RED CROSS!

Adventure yangu iliishia kwa bomb blast memorial na mrembo wa Rongai, Diaspora…

Ata nko na lanye inadai miti

:D:D:D:D

Inadai miti au ni diary filler anatafuta?

rusha hekaya tutadecode

@Ice_Cube

hekaya mara hiyo hiyo

Atafte @kelele tuu ampleke mashimo.

maybe the original thread was deleted by the owner or admin since I can’t locate it. can only get this brief overview by Deorro

Who Did This? - Entertainment - Kenya Talk

This cold weather is getting to both your heads…

Atatafuta aje? Ako dry spell na amesota. Dabal whammy. :D:D:D

Hekaya demanded by kijiji immediately hebu Fanya hivyo

ni kama @Mundu Mulosi alichoma part of the archives akipikia ukali kwa ofis. @Deorro ametafuta akaikosa…

Hata hiyo dryspell yako iko na dryspell…