Mandugu Digital

Mnakumbuka ule msee wa mandugu digital? Siku hizi ako TZ anatolea mahits. He’s produced below song na ako kwa hio video ya Chege pia

https://www.youtube.com/watch?v=6DEo1eFq2hE

Kumbusha sisi

Alihama 2006

Mandugu Diji has been producing bongo hitz for a while now. Skiza into ya Hapo Vipi ya prof Jay…

He’d come back to Kenya for a while, guess he went back coz huku kumekauka.

Afadhali amepeleka hio Kapuka huko. Producer wa Sauti Sol amfuate tafasari. Afadhali niskize toti akigonga gonga mavibuyu na vikombe kwa simiti hapa

Huyu mMeru tumekuwa naye tangu jadi!
Umenielewa?
MandDig tz hata nyimbo za wazito.tushatoa.

Anaitwa Ambrose na ni mnoma sana, very unappreciated.

https://m.soundcloud.com/saudinboy/jawabu-usinifungie-mlango

Who remembers this?

Sielewi hate ya Sauti Sol hutoka wapi. These guy make original well produced entertaining Kenyan music. Key word there being original.

me. loved the spanish(?) parts.

https://www.youtube.com/watch?v=5Xlf4MgrLIY

Jawabu could sing.