kwa mashabiki wote wa united mliopo humu karibuni
haahahah wapi
@radika
Radika anatumia I’d nyingine ngoja nimlete
nimefarijika kukukuta huku. ile stor yetu ya kiapo cha jasusi tunaipataje
Daaa nimelitafuta sana hili jukwaa mkuu @Shunie kaniambia lipo
kwa mujibu wa wakala wa Anthony martial ni kwamba dogo anataka kuondoka.
Kumekuchaaaaaa
[SIZE=5]
By Sky Sports News[/SIZE]
Last Updated: 14/06/18 11:27am
http://e1.365dm.com/17/11/16-9/20/skysports-premier-league-football-anthony-martial-manchester-united_4169026.jpg?20171128215439
Manchester United are not looking to sell Anthony Martial, Sky sources understand
Manchester United are not looking to sell Anthony Martial and he is part of their plans for the new season, Sky sources understand.
Martial’s agent, Philippe Lamboley, told French media the player has decided he wants to leave United, despite the club’s desire to agree a contract extension.
Lamboley said the parties have not been able to agree a deal in negotiations which stretch back to last year, but said Manchester United will have the “last word” on whether Martial remains at Old Trafford.
Inabidi tuendelee u edit na kujaza mafanikia ya chama letu hapo
morinho kuz sana yule unamwacha mchezaji km yule kijana dunia ya leo utapata wapi mchezaji wa vile
tushaingia ktk chama letu
mkuu noana atajirekebisha saiv kaona ya wakina salah na kdb kawa makini sana wamegoma kumwacha
itakua poa utamwachia mirtial leo baada ya misimu miwili utataka umnunue kwa milion 200 km sio ujinga ni nini
apo itakuwa mabosi wamemwekea ngumu morinho but in reality morinho hana mpango na martial
[ATTACH=full]175965[/ATTACH][ATTACH=full]175965[/ATTACH]
Kwa sasa kumuuza martial ni makosa sana maana bado ni mdogo na anakipaji anahitaji muda wa kujifunza zaidi baadae tungekuja kuumia
ratiba yetu ya april na may nzuri sana kwenye kumalizia ligi morinho ashindwe mwenyewe tu
Kweli mkuu kwa sasa kocha hana kisingizio akizembea watamtimua
maana liverpool kapata hela ya uefa anasajili km kachanganikiwa vile
Woooooooooooozeeeeeeeeerrrrrrr
Chama tenaaaa hatariiiii