Manchester united vs crystal palace

The kind of football we want to see. The passing, and the goals @chap naomba admission kama fan wa manjesta…

Mkicheza na arsenal ndio nahamia where I belong. Next season I just want to enjoy watching football sitaki heartaches za bure.

@Wanaruona ukishika Jersey shika tatu, yako, yangu na ya @uwesmake :D:D

https://www.youtube.com/watch?v=zGTqUpKsizI

Thanks for the honest review, how I wish navy seal @uwesmake would gather the courage and make the same admission

Wuueh Natamani jesus mwana wa mungu apatane na fridge mcguire:D:D:D

tungoje season ianze

Man utd all the the fullbacks used to supplement attack. Last 3 season. Fullback were static hakuna kupanda. Luke shonde na wan chieth masiaka hata kuinua krosi kwa D ilikuwa shida.
We used to struggle against deep lying defense na team za high tempo. Most of the time ilikuwa back hadi unajiuliza tutafunga bao saa ngapi.
Ni kama tulikuwa tukitafuta draw banae.

Umecheki hio flow ya ball

Am watching the Orlando city Vs arsenal game repeat and am not impressed…

Pablo mari na holding kwa high floating and drilling crosses awareness zao wako nje alexander pato exposed them ka blad fuckin alafu umalizie tavares kwa wing akipata msee anadribble na pace hapo arsenal ni kavu manze. Pepe is another show off anadai kuchenga 90 minutes plus stoppage time badala kucross one time when he’s not even blocked. 2nd half saka aliwekwa you could see the one on one take ins and dribble and cross akizileta bana.
[ATTACH=full]452413[/ATTACH]

A true fan supports their team in good or bad times.
Any way karibu kwa team kubwa Mdau.

These are just friendlies. They don matter to me and a few billion other people. Waacha season ianze, iwe ni kungangania point tatu, then leta hizi reviews

Its their style of play inanivuta upande huo. Sitaki heartaches…