Hatariii
uswazi ni nini in this context juu nimeona wa-bongo?
yaitwa baikoko
Na ni wanawake pekee
Uswazi ni kama slums ama life ya slums, short form ya Uswahilini na vituko zenye hufanyika huko.
uswahilini kuna maneno… kariokoo na mwananyamala duh!