What’s your favourite Line in the song…[ATTACH=full]167802[/ATTACH]
Unataka vya pool table
“Tema mate…Niteleze”
watoi warudi shule mimi ata sijui wimbo kama hiyo unless nipewe chorus
wazee pia wanunue “ka-shiro” kashungwa na retirement benefits wanyonywe pole pole
kama nyoka pangoni.
:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Maina Kagayni akiichez anamalizia 'Diamond wi munanu muno.