Mamba- Boschmann 1500w- Mint Condition

BM 1500w- 0708480917
Zero Repairs[ATTACH=full]342359[/ATTACH]

Dont get into a habit of selling your stuff. There is a reason you bought them.

Boss, I’ve upgraded my music system

Pikcha ya upgrade isikuwe Una uza ukipeleka pesa Kwa chang’aa ama kukimbiza bet ime ungua. Kuna ghasia Bibi alitoroka juu ya gambling alikuwa ana beba cooker anapeleka Kwa auctioneers.

If you know you know :smiley:

https://www.youtube.com/watch?v=fQyFQZ0yl_A

Bet it would jam this tune nicely…

bei?

7k ono
0708480917

Kitu kaa hii ni poa sana na mtu kama @BBIsiMuhimu . Apewe free juu hanaga pesa aende aiweke kwa drum au nyungu, yaani debe.

Itoe sauti Rumuruti mzima. Hata anaweza pewa kibarua ya loudspeaker campaign zikifika.