Malaika Firth: MMNN just found your amphibious car

Haka kagari hakatambui speedboat ya County.
Been told it sailed from Kilifi to Nyali.
[ATTACH=full]75449[/ATTACH]

2 Likes

Findeo hizi hapa
It has awed everyone in the coastline,
@Malaika Firth expect more pics and videos

6 Likes

Nimeona my fellow Dollar Birrioneas are doing me proud

2 Likes

hehe Meria kumbe wewe ndio Katana

2 Likes

Hii kagari/kaboat ni kaa kana rocket boosters, Ata zile water bikes hazikapati,

1 Like

We will be waiting

1 Like

Katana ni pilot, hehehe

@Meria Mata Uko sawa kama KtalkCSI

1 Like

Nime check specs zake wanasema iko na top speed ya 44miles per hour kwa maji, that is 70km/h.

1 Like

Kama Katana ni pilot swallow ni iyo jamaa ina Rusungu dll :D:D:D

1 Like

hiyo iko sawa sana kusafirisha ngano. expect Pablo anunue yake for that purpose.

2 Likes