Hii inaweza nisetback mangapi hivi
‘‘Motorized 48 CC fixie thruster off road in Arizona’’
Hii inaweza nisetback mangapi hivi
‘‘Motorized 48 CC fixie thruster off road in Arizona’’
15K.
Umeshindwa kusukuma black mamba yako ya mkate?
:D:D:D
@nimechoka buana :D:D:D
How many crates high do you stack?
Na, unausa mandas pia?
Saitan.
:D:D
But that mod is possible.
5 crates high, mandas nausa pia:D:D
nikifanikiwa nitaleta black mamba yangu hapo leafy suburbs uniundie niwache kukaa kaa punda:D
Find me at a cul de sac called Ding’oing’o Close.
these preceded the motorbike craze here in kenya. the terrain killed them.
at the end of the video, the inevitable came.
Iyo jamaa inaanguka kimalamala aje
Hii injini mtu ananunua wapi? Nmeona aliexpress kuleta Kenya inakuja 34K
Iko chuom fulani, already landed yauzwa 15k.
Hii kitu iko na speed hivi? Nmewatch video kama 20 inawezahit 70kph . Kwanza unapata kina @Meria Mata with their 400k bicycles unawaachia moshi. Hahah hii lazima niweke on my Chinese bike
Hiyo chuom iko wapi
Nikuambie uende direct alafu Omosh akose pizza?
Saitan.
Nko serious bana. Ako na 80cc?