[ATTACH=full]179219[/ATTACH]
Wenzetu wanao uhuru mpana zaidi
Hongera zao
Huo ndiyo uhuru, wanaelekea kuzuri sana. Uli kulinda uhuru ni muhimu kuvumilia hata usiyoyapenda.
Kwetu wana uhuru wa kuliwa bila bugudha
Hmm! :eek::eek::oops::oops:
hahahahah
naweza kupata kwa ufupi “job descriptions” zao?
Kupapasa ni bure. Nguo zikishavuliwa ndo hela zinaanza kujihesabu. :D:D:D