Kama ingekuwa ni lazma kutangaza matokeo ya vipimo vya damu kwenye zoezi lililo fanyika bungeni Dodoma, nadhani amri ingetoka juu na kuhakikisha majibu ya wapinzani yanakuwa +be na CCM hakuna hats mmoja
Majibu ya Ndugai vipi hayajatoka tu?
CCM wengi wanahuzulia clinic.
nimeckia wanaonesha TBC, mm kuangalia tbc tena labda kweny mazish ya kiparangoto, nikitangulia mimi atanikuta pale pembeni ya jehanam nimeshakata kuni kazi yangu kuchochea tuu moto usipungue
hahaaaaaa
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mkuu basi imetosha…umenipasua mbavu zangu mpaka watu wananishangaa ninavyocheka…
Hhahahahahahaha…
Ni mwendo wa kuhakikisha kuni hazipungui kwenye kumuunguza bwana yule.
Mkuu, katika siku ambayo nimewahi kucheka ni leo baada ya kusoma comment ya Mkuu @reyzzap jinsi atakavyokuwa anachochea kuni za kumuunguza mtu huko jehanam.
yan yule jamaa akifa akifka pale ki preft cha mbingun na jehanam hawana haja ya kufungua kitabu kusoma makosa, utasikia tu shetani akiita kwa saut “YUDAAAAA kaongeze kuniiii” baada ya hapo atarud kuongoza mizimu na vibwengo na si malaika.
Mkuu basi imetosha…
Hhahahahahahaha.
+be ndio nini?
Aisee kuna watu wana hasira sana ngoja ulinzi uwe kama ulivyo, la sivyo…
Lahaula lakwata…!!!
Alisema anaenda kuwa kiongozi wa malaika
[COLOR=rgb(0, 0, 0)]hii Ni shida watu wamechoka Kweli Kweli
:D:D:D:D acha kumtania mme wa jojo
mkuu nitonye jojo ni nani m nipo huku ushirombo habari labda uniulize habari za kitimoto na mbege
mtafute Dada yenu wa taifa anayeishi state atakuambia…but jojo ni yule binti mwenye kidoti…![]()
![]()
![]()
…Wewe jamaa fala sana!!!