Maisha ya zama hizi ni shiida,mkeo analetwa na mshikaji mpaka mlangoni na gari,ukimuuliza anakujibu kiulaini uber hiyo
Mambo ya Dar hayo
Hahaha hata huku nairobi yapo
Kumbe Uber wapo hadi huko Kenya!! hahaha safi sana
Hahaha
Uber ni nzuri sana
Haaaaaa hadi wew
Raia Nowdays Wajasiri Sana Wanakutombea Na Mlangoni Wanakuletea
Hahahaha
Kwani uber hainifai ama?! Kuna mpaka Prado za uber
kurudi na gari ya jamaa kwa kusingizia uber
Usiseme ya jamaa sema uber
Uber katika ubora wenu
Tutajapata na mimba za “uber”
Hahaaa. Lol.
Ndio muwanunuliage magari yao sasa sababu wameshaanza kujiongeza na bila hivyo Mtapata tabu sana.
Hahahaaa. Hasaaaa.
Ila kwa mbaali naona Uber sio tatizo ujue tatizo lipo kwa wale wanaozitumia hizo Uber vibaya.
Hahahaa. Lol.
hahahahaaa hv dawa ya kuzuia wivu haijapatikana tu…
Ipo mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mdogo wangu sasa kama magari hawawanunulii , na wanawake wao hawataki kubanana kwenye hiace ndio sababu wamejiongeza kupanda Uber bado wanalalamika.
Sijui lipi jema sasa.