Elders habari yenyu?.
i have two very genuine and serious problems which requires wise counsel. nimekua nikikomboa places ya kuishi in Campus na ata saa ii after graduation. Bt hii mambo ya ploti inanishinda coz ya two things
First,naturally watoto wadogo hunipenda that nikihamia place new, rafiki zangu wa kwanza huwa ni watoi, na ata nikienda place yeyote kuna mtoi lazima tu atasmile ama kama ni mat ataanza tu kuniguza but thats not the problem. The problem is lazima tu kuna mtoi ataniita baba kwa ploti na ako na baba yake. Saa ii place naishi two young boys and one girl, all less than 2yrs huniita baba ,sometimes wanaandamana wote nkiwa kwa ploti wanaingia tu kwa hao na kujiseti tu kwa sofa. sasa sijui baba zao watafanya nini wakiskia mimi naitwa Baba na watoi wao… Sasa nataka kuhama tena cz hata mama za watoi hawako comfortable na sitaki nlete issues.
Problem number two ni wasichana wa ploti, nikihamia ploti kuna wasichana, lazima tu one or two rships zitabrew, sometimes inaleta cat fights na complications kwa ploti na ata nkijipromise kutostart this rships watu hujileta tu.
Najipanga nijenge kwangu hii town bt in the mean time sijui niishi aje…
ishi nje ya plot then. Wacha kusumbua watu
io kuitwa baba na watoto si wako ni tricky but io ya madame you should be happy dryspell hamtakuja patana mahali
@Pastrolist before ujenge, make sure umekamua hao mama wa watoto wote, afterall, wewe ndio baba. Watoto washakufanyia kazi ya kuomba.
Enda jela
Maze,naona unarelate, bt kukamua madem wote wa ploti huleta jina mbaya…hiyo ya watoi aki ni tricky sana
unaulizwa advice unaandika umeffi…matter core. .
iyo title ulipewa aje .ijiot
@dabu hauna adabu
kuna vile unakaa kama pinocchio? au pied piper?
Watoto wa siku hizi would sooner call you “anko” than “baba”…
Nugu
watoto mm huwapiga warning mbaya sana
asanti mkubwa. lakini upgrade akili.
sasa naona problem number one solved!. santi sana
Anza kujiita Baba Yao
Rudi kwa mzazi basi
Sijui kama murarandia kuna vacant bedsitters.ngekusaidia
mimi hudiscourage sana story za watoto wengine. if anything were to happen while you are with the kids, ile shida utapatana nayo utashangaa
Sasa wewe? Kwani lasima uishi kwa ploti mahali unapatana na mafamere? si ukae kwa mancave bedsitter ama one bedroom mahali hata haujui nani ndio neiba wako for months