Maisha msoori

hewa safi chakula mingi. No rat race.

https://www.youtube.com/watch?v=jmv00CMTtPs

Now this is proper safisha mecho

Ako na bwana amezaa?..ofcourse hizo jegii ni za manzi amejifungua

Kuna katoto kwa findio kanacheza around

si mtu alete digits

It’s rare to find a personality that will accept such a life and not seek the financial growth offered by the city

Safi sana.

Very good stuff. Very green.

MGTOW nataka kitu kama hiyo. oneza na kuku za kienyeji

Hapa Nairobi we are working so hard to experience such life. Stressfree.

Mgtow napanga kutoroka kanaro niwawache na hii stress. Huku labda nikue narudi monthly for lanye activities

… Mimi nilipenda Nakuru na nanyuki… nilitembea hizo areas nkajiuliza nafanya nini Nairobi. N venye pesa iko nairobi…Otherwise Ningekuwa mashinani

Fixed. Ndio maana tunaimba MGTWO=Freedom

Familia ni muhimu kaka. Pesa lazima itafutwe.