cc @sani
Halafu idlers wanakwambia uende madmano badala ya kunyunyizia maji
Rain comes from heaven. So tunaandamana as The Almighty ananyunyizia mahindi maji.
i also want to venture into farming hapa molo
Niitie kashamba hapo
CSI kazi kwenyu
Bado ku flower and rains are diminishing. Kita kuramba. Bure kabisa Ngombe ici
So tutie bidii JSKS and the gang wakule kwa tax ? Tunafanya KAZI lakini hatutakaliwa.unaskia kijana ? Israelis ni mafala wakiandamana ? Franch people ni mafala wakiandamana? Respect our Constitutional right
Nabil amefanya kazi buana. Matunda ya subsidies.
Yangu yatakua tayari for roasting in two weeks time.
Safi sana. Nilipanda miti ya avocado two months ago. Nilienda kucheki nikapata zimekauka. Na vile nilikuwa nimeambia ma Boyz Fulani hizo ma areas wawe Wana Zi water daily. Farming inanikalia fun kiplani
Huwa POA Sana. Hasaa nyakati hizi za chemical contamination
kazi ni kazi.
Are you from Kisumo Omera?
Mimi ni mtu wa baba
city boy ulipanda wapi
With all posibilities indicating an impending elnino that starts from September, hii mahindi yako itavunwa kweli?
Kazi safi sana wanakijiji.
Sasa utashukisha bei ya unga?