Habari wana jf katika nchi ya uhamishoni,
Hivi Goli la pili na goli la tatu aliyofunga Ronaldo ni uzembe wa De gea au ni ubora wa mpigaji…!?
ile penalty ureno walipewa-hata wale wachambuaji wa mpra wa DSTV walisema ni brace
goli la 2 na 3 ni uembe wa de gea-fara sana
Ni magoli halali kabisaaaa
Sure asee yale magoli kafungwa uzembe saana yaani, especially lile la pili…
Sio kwa lile goli la kwanza la penalty… upendeleo ulitumika pale
Kila goli la penati lazima lizue malalamiko
wakati wa maandalizi ya kombe la dunia, degea aliwaambiwa makipa wenzake kua mpira wa mara hii unateleza, hivo kipa kabla ya kuudaka aweke guard ya mguu. na yeye amefanya the same lakini mpira umempita hivi hivi.
Goli la pili ni uzembe wa Degea
Na LA Leo?