Kuna beste yangu ame open wines and spirits kwa backstreet ya kwa ndege so occasionally nilikua napitia huko kumpromote.Sijakua nikienda huko sana tangu niache alcohol but juzi amenikol akaniambia amekuwa na clients wapya madem warembo kuruka niende nirushe mtama.Nikaamua kutokelezea.Madem walianza kuingia mmoja mmoja maze madem shapely well rounded toned bodies.Noma ni gilbeys ilipoanza ku check in kwa system zao walianza kuspeed dial pedi wa jaba akaleta jaba very fast na zile ma karatasi Shiney.Sikua na shida,just that dem wa jaba has never been in my plan.Tukaendelea kuzidi nikaanza kurusha mtama kwa mmoja mwenye alikua ameninice.After kuona yeye nini jaba battalion I decided akiingia box ni sawa after all ni koomer ndio ntadeenya.After kuona namrushia mtama akaendelea kulewa tu then all of a sudden akaanza kushinda akishout akisema 'Niko na kahoma hapa na lazima nipatie mutuu!!!'Sikushika radar,badae alishinda akiblackout kwa table,akiamka alishinda akisema ‘Niko na kahoma hapa na lazima nipatie mziiiiiiiiing!!!’.Nikajiuliza hizi ni gani tena,dem amechizi nini?Kulikua kumejaa kiasi,time heading to 11pm.Nili sneak out nikaenda home.Baadae nakol beste yangu akaanza kunizushia ati mbona nilihepa na dem alikua ashajipa anangoja kuchotwa namimi.Apparently akisema hivyo alikua ana drop hints banae.Nimekubali am too old for this sheet.Ntajarabu na nguvu yangu yote mtoi wangu asiwai kutana na jaba.Maze jaba ina reduce dem mrembo classy anakaa na kubonga kama chokoraa.
Hapo nyuma kuna wines inaitwa Backstreet.Maze madem wasafi hukunywa huko kuanzia Friday jioni.Ndani inajaa hadi wanaweka viti na tables nje.Uki wa probe unaskia huyu sijui ni prosecutor wa kotiko, huyu ni programme manager wa ngo sijui gani,huyu ni banker sijui wapi.Madem serious hata ukiona braids unaona tu hizi ni zile za 15k.Gilbeys ikishacheckin wanaitisha jaba na kugeuka chokoraaa in a minute hata appetite inapotea buana