Mara ooh mimba haitaki harufu ya kitunguu, mara ooh mimba yangu imechukia kuenda Nairobi…
Mbona hizi mimba hazikatai pesa za noti na mashilingi???
Hebu shika mimba uje utueleze vizuri
Vile huyu hapa amesema.
^^.vile umeambiwa hapo juu na uongeze kushika Fruu Cha Fruu Chaaaa
Vile sponsor amesema hapo juu ^^^
Yea, meffi yeye!
vile jamaa Wa offer amesema ^^^^
Huyu anakaa kama ule mungiki bonoko wa dubai.
unataka kusema ngamia imekataa kula nappier grass juu iko na mimba??
Vile @Chloe amesema
ebu muambie sis
:D:D:D:D:D:D:D
una ogopa kusema ni @kush yule mnono :D:D:D:D:D:D:eek:
Si huyo, kush kumwita hivyo ni matusi.
kabisa. kush hawezi kuwa brainwashed mungiki. he is better than that
.
Maybe wewe ni mmoja wa wale walikuwa wana report shule kesho ju ni Kama hauna huruma ,.
mara anataka kunusa duster @Chloe tueleze
Most ni instincts za mtoi zina-overrule za mathe…and we all like money.
vile wamesema …BTW nilikua nakaangia kitunguu kwa neighbour au naweka natoka Iive alafu nacome nimeweka kile na pika…