Macharia wa kamau apana mchezo

Bado unauza gas

Instant Justice. Sasa ataambia watu alitoa wapi dent iko na rangi za Progas.

Aii hio imempasua skull.

Hadi akaangusha dough na kuzisahau. Hio jambazi imekufia mbele
[ATTACH=full]337288[/ATTACH]

:D:D

:D:D:cool:

Huyo hawezi fika mbali after hio impact…brain and legs will not communicate.

Alitema meno kama njugu…:D:D

:D:D:D:D:D I have never felt so good seeing a person getting fucked up.

adrenaline ni nomaa

Lucky Fücker :D:D

Uyo jamaa they should make follow up, sidhani Kama amesurvive

How I pray that the gas cylinder was fully loaded

Huyo kama ali survive hatawai pika na gas , kila time anaona mtungi ana shikwa PTSD

I am happy for the way justice was instantly served

Guy has balls

Ile shock amepata ata hangekumbuka kutumia iyo pistol:p:D:D:D

That loader is one ruthless quick thinker,but why use all that force

Kitu ya ajaabu ni mwizi held on to the gun na akaenda nayo:D:D:D

Did he really survive?