Machaa wa Gas

50*100 ni ngapi hii mtaa yenu?

[ATTACH=full]348898[/ATTACH]

Hiyo trading centre imechapa Bana!

hapa nikamenu , makongeni ,that was a very famous pub called sengeyao malaya tulirarua kabisa hapo hahahaha

btw i grew up few meters from this place , kunaitwa kamenu ni place poa sana

Naskia ukora ni common Sana izo sides