Mabeshte wangu mob mtaani wametegwa na madem.Ile kusetiwa na dem anapata ball alafu lazima tena umuoe.Nimenotice vitu kadhaa:
1.Hao madem huwanga watu mashida shida hivi(chokosh),so wakipata ninja ako na tuchapaa,wanaona wameangukia.
2.Madem kama hawa hawananga vision ya life,yaani future yake yote ni giza tupu.Asipozaa hakuna kitu ingine ya maana anaweza fanya in life.
3.Hawa madem huwanga lazy sana,isipokuwa kufua nguo na kuosha nyumba.Hakuna kazi ingine wanaweza fanya.Hata ukimfungulia biz,itazama.
4.Akishazaa kuwa ready kucheswa brathe,juu atakaa akitafta upgrade hata kama muko pamoja.
Pia wazito mkumbuke kitu moja,hautawai endelea maishani kama unalea mtu mzima(bibi).Pia yeye ako na mikono mbili kama wewe,anaweza tafuta job mpate more income.Kama job ni kukaa kwa nyumba na watoi,peleka yeye ocha.
Is it that wanaume mna shida nyingi hivi or is it that wanawake tuko na high tolerance to problems, life challenges and all manner of bullshit in general?
Buda watu huketi wanapanga venye wataanza familia na vile watailisha,sio ambush.Kama mko ready kupata watoi iko sawa,lakini kama ni kutegwa unategwa haifai
Kile sielewi hapa ni mtu anatrap-iwa aje?Ukikula chokosh kavu be prepared for the consequences. Maninja wa kuruka ball ndo huanzaga hiyo story. Kulea mwanao si lazima uishi na mamake. Na ka huezi lea options ni tatu. Abstain. Use Contraceptives. Wank.
So when you have unprotected sex, multiple times and you are aware the woman in question is not on birth control, or the fact that birth control is not always 100% effective, what is it do you think will happen?
hawa ni wanaume kama mabinti… Alafu waanze kulalamika wanawake wamemea pembe… na wakiambiwa wasaidie kuosha mtoto ama kufagia nyumba watasema hiyo si kazi ya wanaume… WORTHLESS is thy man who can’t provide for his family… Raising kids is not a joke so never despise a woman who does this full time…
Nilihepa hiyo trap mtu wangu so I will never make such a mistake…madem kama hao unawashow waketi --------------------------------------------------------------------->