Mmemuuliza yanayoendelea nchini KISIASA KICHUMI NA KIJAMII au mmeimba mapambio vile vile? Mlikuwa na ageNda za kweli au mnalinda misalaba yenu shingoni?
Wakikujibuu niite
Sidhan na watakuwa wametishwa
Nimependa kuimba mapambio maana ndilo linalowezekana
Sidhani kama wale maaskofu wakorofi walikuwa sehemu ya ujumbe huo…
Viongozi wa dini siku hizi wamegeuka kuwa sehemu ya watawala
Hawana uthubutu wa kuulizia taarifa kama hizo…
Cc: @Mahondaw
Misalaba ya nini sasa? Kukusanyia sadaka?