M-shower

Leo morning nikitoka mtaani nimesikia maneno nikashangaa…si mnajua tu hizi ploti za huku kwetu vile zinakuwaga .visanga kila tym.sasa nilikuwa pale chini parking nikitegea wife.kidogo kidogo naskia kelele hapo 1st floor…nikashindwa what happening is this early?nikajipea tu shughuli .madam akakuja na tukatoka.nkamuuliza nini mbaya huko akanishow ati huyo mzae wa huko ametandika bibi kwa vile hakuna stima na bibi amekataa kumchemshia maji ya kuoga.fuuuuck it.yaani kuna wanamme uoga na maji moto.that was my question,worry.
to me since nizaliwe sijawahi oga na maji moto.ata nikiingia shower i cant.yaani mjamaa ananyorosha bibi hadi anapiga duru coz ya kutochemshiwa maji.???to you villagers ata nyinyi uoga maji moto>???

[ATTACH=full]121030[/ATTACH]

21 Likes

oga na baridi utalipwa binguni juu ya kuconserve nature.

6 Likes

Hot water is a must. Maji baridi ni ya swimo. Kama hakuna stima, chemsha.
Kama hakuna gas, ngojea.

2 Likes

you are sick.

1 Like

Inalingana na the prevailing temperature. Huwezi oga na maji baridi wakati weather inasema ni 5°C

1 Like

Fuck cold showers singewes…

1 Like

any day ata kukifreeze

3 Likes

Mambo ya manyumba za wenyewe,wachana nayo,trust me most likely the issue is not hot water !

8 Likes

pia mimi nafikiria hivo

1 Like

Rastafarians got strong beliefs and philosophies.
Siezi shtuka ukisema pia Kanyama haujatia mdomoni tangu utotoni!

1 Like

Once in a while nikihit gym ile worse, i do take hot bath. relaxes muscles better than massage by minji minji. Problem arises when eyes cant open for the better part of late morning- usingizi mwingi.

3 Likes

unajifanyia nani toughman aka spetsnaz hapa, shadau!

1 Like

Mimi kama hakuna maji moto wacha hiyo kuoga ikae. YOLO.

3 Likes

hahaha.no man .am not in to it that much. nyama nayo lazima

1 Like

Homes are smoke…

3 Likes

YOBO…You Only Bathe Once.
Uliza Mukuna.

6 Likes

was the question only for men…???mimi have never taken a cold shower…well, since birth!!

1 Like

When ?? Mukunaaaaa !

2 Likes

Ata high school,??o_O:eek:

1 Like