M-PESA APP

Vipi watu wangu? nani anajua app naweza tumia kutumia mtu pesa America? Money gram wananikata alot of money for nothing

pigia watu wa saf watakuambia…

Wave App

Siutumie paypal. Ama bank transfer. Or western union. Si app lazma ibelong to a bank?

I thot its the other way round America to Kenya ,kama unamtumia akiawa huko …mwambia arudi huku tung’ang’ane na maisha

2 Likes

kama mtu ni maskini akiwa america,akirudi huku atakuwa nini?

this is very true of most kenyans wakiambia watu wa diaspora wawanunulie vitu…

hehehe, enyewe si watu huku wanaongea matope… wazi @pipinono

Kama hana kakitu mwabie hakujie pesa… hapa254

Western Union?:wink:

hebu download wave app, but it sends money from america to kenya sijui kama unaweza tuma huko

use bitcoin or litecoin

Kuna Mpesa service US??

www.nation.co.ke/news/Wave-Money-Transfer-Diaspora-US/-/1056/2669052/-/o2d92a/-/index.html

There isnt. Thats crazy. there are a limited number of means to send money to US.