LUXURY LIMO FOR SALE

Sometime back there was a villager alikua ana sema ako na pesa na anataka ku invest na hajui ata invest wapi, I have good news for you… Wachana na mambo sijui uber, taxify ama little cab hizo ziko exaggerated kama ile biashara za quails.
Buy a limo and you hire it for events such as weedings, Chagua la teenies si una jua ma celeb hutaka kuingia na grand entry… Hii ni season ya campaigns na hawa ma honorables wanataka kuonekana wako na kakitu, kama wanaeza afford ku hire ndege pia hii limo wanaeza make.
With just ksh 570,000 ume ingia kwa Birrionares club na hii service yake haikuli kama ile 5 seater ya @ochithunder
Biashara mzuri kuliko ya matatu hauta lilia kwa bafu.
Thank me later.
[ATTACH=full]80063[/ATTACH] [ATTACH=full]80059[/ATTACH] [ATTACH=full]80060[/ATTACH] [ATTACH=full]80061[/ATTACH] [ATTACH=full]80062[/ATTACH]

7 Likes

He he. hii imeunganishiwa wapi? nikanunua hii the first thing would be to change those rims

3 Likes

Hiyo console imetengenezwa na fundi wa mbao ama naona zangu.

7 Likes

hehe Hii ni taxi kubwa

9 Likes

inakaa kutokana uki-accelarate kwa nguvu,iache customer kwa barabara na ka-TV

22 Likes

B15 limo :D:D

5 Likes

hii ni ile bangi ya introvert inasambaa

14 Likes

[SIZE=5]One of the ways to check a panel beating guy’s prowess is to check the straightness of this line here. If it is crooked, some poor job was done.[/SIZE]

[ATTACH=full]80067[/ATTACH]

1 Like

this is an insult to the name limo, why on earth would you want to buy that, the exterior is crap, the interior looks like it was done by a nursery school kid, or was it meant for a competition geared towards producing the ugliest contraption

4 Likes

[ATTACH=full]80070[/ATTACH]
haia, hata shampagne…

10 Likes

Konichiwa.
That is the most ghetto limousine I’ve ever seen.

8 Likes

:D:D:D:Dhii ni best kuenda nayo blankets and wine, hiyo space ni ya kulalia tulami tumelewa na changaa ya huku

https://www.youtube.com/watch?v=5NPKcVFVZu8

1 Like

:D:D:D:D:D

hii nipoa ya kuchips funga wanafunzi wa campo…hutaihitaji room

1 Like

hii ni kazi ya eng. karis, omondi ndio anatambua hii job

5 Likes

What’s luxurious about this car?

I swear I can smell the mould, mavi ya panya and whiff of disintegrating Salama latex that fell into the nooks…

4 Likes

Acha kuonea shiny eyes. Mtu akitaka job chap-chap na bei poa anaenda wapi?:smiley:

4 Likes

Jeez, kwani hii wiki mmekula nini? The whole thread is supposed to be humorous and ‘luxurious’ here was absolutely tongue-in-cheek.

3 Likes

Haha ni premio imerefushwa kidesign