Luwere

Naona kijiji ya wazee inaangamia polepole.
Whats happening to the wazees in the forum???
Miria mate anoongea peke ya kaa @Mwendawazimu, wakiwa na ile noogle inaitwa @zapp_brannigan.

Anyway Luwere kijiji ya senate.

:D:D…yaani umeieka kwa corona updates…

Ulog out.meffi wewe

Enyewe talkers wanapenda kijiji ya wazee. Ni kama after uwachane ex-wife/kunguru/MWK ,lazma uchungulie umjulie hali:D